Becky Citizen TV Full Theme song and Lyrics
*********
Tenzi za hulka, naziona kama mionzi
Maisha Dhoruba, heri angekuwa jonzi
Wingu lilivyofunga, heri hata kiangazi
Na wala ushujaa, leo limejaa majonzi
Raha ya ua, likiwa na umanti nzuri
Kupita mwili kizidi ua inageuka shubiri
Aah aah aah aaah
Nionee huruma
Aah aah aah aaah
Nitulize mtima
Aah aah aah aaah
Nitamlilia nani??
Becky ooh Becky ooh Becky
Nitamkimbilia nani??
Becky ooh Becky ooh Becky
Download Becky Citizen TV full theme song here: